Random Video

Mjadala wa Sakata ya sukari wapelekea mbunge Ben Washiali kutimuliwa

2016-02-20 1 Dailymotion

Mbunge wa Mumias Mashariki Ben Washiali ameshurutishwa kuondoka katika majengo ya bunge kufuatia matamshi yake ya uchochezi wa kikabila.