Random Video

Naibu Rais William Ruto Amsuta Kinara Wa ODM Kwa 'Kuwadharau' Wakenya

2021-10-21 10 Dailymotion

Naibu Rais William Ruto Amezidisha Vijembe Vyake Dhidi Ya Kinara Wa Odm William Ruto Akisema Kuwa Mpango Wake Wa Kutoa Shilingi Elfu Sita Kila Mwezi Kwa Familia Maskini Ni Sawa Na Kuwadharau Wakenya. Ruto Aliyasema Hayo Katika Mkutano Na Wahanya Biashara Wadogo Kutoka Eneo La Githurai