Random Video

Sakaja Awarai Rais Ruto Na Kiongozi Wa Azimio Raila Odinga Kufanya Mazungumzo

2023-03-12 2 Dailymotion

Gavana Wa Nairobi Jonson Sakaja Sasa Anadai Kuwa Wale Wanaomzingira Rais William Ruto Ndio Ambao Wanamshawishi Kutoshirikiana Na Upinzani Katika Utendakazi Wake.